Huyu ndio Baba Levo ambaye kwa sasa anasumbua na wimbo wake mpya unaoitwa WANYEE ambao ametengeneza pale Bongo Rec chini ya Producer P.Funk.
Sasa ndani ya wimbo huu kuna line fulani fulani ambazo Baba Levo kaziandika na watu wameshaanza kutafsiri vingine.
No comments:
Post a Comment