MATANDALA

Wednesday, February 17, 2010

MR. BLUE AFANYA MAMBO NDANI YA VISIWA VYA COMORO


Superstar wa bongo aliyepata umaarufu akiwa bwana mdogo namzungumzia Mr Blue, afnya show kali ndani ya visiwa vya Comoro.
kama kawaida yake akiawa kwa stage huwa hafnyi makosa kwani huwapagawisha washabiki ile mbaya.
Blue alipata time ya kubadilishana mawazo na mwanadafada kutoka France (TEEYAH), Waliyekutana naye Hotelini alikofikia Blue na crew yake nzima.
bonge la show full kupagaisha mashabiki wake.
kwa mujibbu wa Djchoka

No comments: