kiongozi mkuu wa kundi la Wanaume TMK Fella ameachia ngoma mpya ikiwa ni ngoma yake ya pili hivi sasa inayoitwa october 31 akizungumzia Uchaguzi, hasa kuwahamasisha vijana kushiriki katika kupiga kura mwezi ujao na kumpata kiongozi wamtakae badala ya kukaa vijiweni baada ya uchaguzi na kuanza kulalamika kuhusu viongozi waliochaguliwa
No comments:
Post a Comment