![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgkpGuSIxlZ8jO-Eekx8mehLOVkkU4OosPQJZvi5bR4E1Bnp83Exl6BIjKBoY0G0yK0-gI8MOX421aeCtSl3ygaimHgHJQxUEBcMMDpfrewrw74QBsI8zsFHca0HarmLFYeS1KjXvNX8R8/s400/Mike-Tee.jpg)
Msanii Mike Mwakatundu aka Mike Tee aka The last King From Nyaluland, sasa yupo jikoni (Studio) akipika msosi (Album yake mpya). Umeshasikia ngoma ya I LOVE U ambayo mpaka sasa inaendelea ku-bang ile mbaya sana hapa Radio ya watu -Clouds Fm yupo tayari kuachia remix ya nyimbo hiyo ambayo ipo kwy mtindo wa Hip Hop -Techno huku beat likiwa limenyongwa na Pancho Latino yule yule katika studio za B-Hitz vocal zikiwa zimefanywa na Mykee Records -Studio za Mike Tee huko mji Kasoro -Morogoro
From djfetty.blogspot.com
No comments:
Post a Comment